Simtaki kwa bure wala kwa kumnunua siwezi kuishi na kitu ninacho kiogopa π¬π π π Nikuletee zawadi ache nayo Nai eeeh... hawa mbwa wanakula hadi bati wakikasirika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee na babuu yako migambutiii kazi mnayooo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kila siku namuhaidi leo mwisho lkn babu migambuti atatufuta tyuu cha kunikwaza mpk niingie huku sijui kwann??!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu niwachee bhanaa wee.
Mbavu zinauma huku.
π€£π€£π€£Mara mbili? Mbona ulishaniacha kitambo? π€ Zurura kwanza utarudiNakuachaπππ€
ndio nisha kosa sasaπ ππ€£π€£So bad....very sadπ.....sa itakuwaje π€????
Nje ya mada hivi Mbwa aina hii ni kizazi gani jamanii mbona kama majini wanatisha kupita maelezo[emoji15][emoji51]
Mi nadhani hakuna binadamu asiyewezekana ukimjulia udhaifu wakeπUtamuweza huyo kaka yangu ana hasira akichukia ππ
Kwa sura hiyo ni mpole ajabu kwanza huo mdomo ππΎββοΈFrench bulldogs,, friendly sanaaa sio wakali wao na golden retriever au poodles tofauti ni sura tu ila tabia ni same
hatuitwi hivyo ni cheusi mangala[emoji23]
Ndio wifii nadhani utamtuliza πMi nadhani hakuna binadamu asiyewezekana ukimjulia udhaifu wakeπ
Sio mbwa wazuri hao wana hasira sana.. disha zao zinayumba yumba sana.. lazima ujue saikolojia yao...maana hata mlishaji wake kuna mda wana msahahu.. wanampa mambo π πSimtaki kwa bure wala kwa kumnunua siwezi kuishi na kitu ninacho kiogopa π¬
Embu tuone kwanza hizo nywele zenyewe mchuchu
hamtupendi ila mnapenda nanilii zetuπNdio km usiku wa balaa?? Siwapendi black mamba ndiomana siwafatilii hata [emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961]
Africa wapo kweli au ni huko kwenye haki za wanyama π€¨Sio mbwa wazuri hao wana hasira sana.. disha zao zinayumba yumba sana.. lazima ujue saikolojia yao...maana hata mlishaji wake kuna mda wana msahahu.. wanampa mambo π π
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu kijiwe pendwaa hiki, acha watu wafurahii bhanaa
Worry out chiefπ. Niko stand by π€
Kwa sura hiyo ni mpole ajabu kwanza huo mdomo [emoji2304]
hamtupendi ila mnapenda nanilii zetu[emoji23]
Sawaππ€£π€£π€£π€£π€£Mara mbili? Mbona ulishaniacha kitambo? π€ Zurura kwanza utarudi
wapo wengi tu, watu wamefuga hata kwa baby wangu wana hayo madubwashaaa π π π π na mie nina baby jamaniAfrica wapo kweli au ni huko kwenye haki za wanyama π€¨