Selfika na JF: Snap it. Show it

πŸ’― πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ˜
 
kigori mie niliamua kuwachia mijadara yao.. ila sasa wanaendelea kufata watu na kunichafua kuwa navumisha nimewala..

Narudia sijawai kula mtu humu JF, sijawai tongoza mtu humu na haitakaa itokee..
Kmanyoko zako utadhani kweli vile!!

Sura gumu hilo akukubali nani??? Nitolee wendawazimu wakoo pakadume zee wewe acha kutafuta kiki malayyaa wakiume!! Vocha humu zinawekwa sandakalawee tena muwekaji ni mjep mwanaume na Wivu wako ukajifanya kumuiga mwanaume mwenzio mmxxxxxieeewwww ulivo na nuksiii sasa!
 
Jamanii yaishe basi πŸ™†πŸΎβ€β™€οΈ
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 

Tobaaa
DP WORLD NJOONI SELFIKA
 
πŸ‘ΉπŸ‘ΉπŸ‘ΉπŸ‘ΉπŸ‘ΊπŸ‘ΊπŸ‘ΊπŸ‘ΊπŸ‘ΊπŸ‘ΉπŸ‘ΉπŸ‘ΉπŸ‘ΉπŸ‘ΉπŸ‘ΉπŸ‘ΊπŸ‘ΊπŸ‘Ί

Kwakua nakuheshimu acha nikaushe.. alafu pia siwezi bishana na mwanamke.. acha nikupotezee.. Ila sijawai kukutongoza.. kama wewe ulianzaga niulizia details zangu kwa kina wigeleko.. na ukaanza kuja PM na njaa ya vocha nikaupea kama dada.. ukaja omba ya kusuka nikakupa kama dada.. nada bae ukaanza swaga tutumiane picha za utupu.. sasa jiangalie una akili, ila huzitumii unaendekeza uchawi tu.. shauri yako... 🫑🫑🫑🫑
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…