Selfika na JF: Snap it. Show it

Ebooooooo
 
Ndio maana unasukuma chuma kali, nikajua ulihongwa[emoji23]

Sijaona wa kunihonga?? Hizi vocha za jero za humu?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wenyewe wanasubiri mjep awape!!

Wakinga hatuamini kwenye kuhongwa, sisi ni ma fighter njoo Mwanagati uone mijengo tulioporomosha afu mtaa wote mademu
 
[emoji23][emoji23] nakubali. Bado mbweni[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…