Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,441
We uko kwenye 47-55 Hapo, Leo ndo nime juaaa ukweli😂😁Kwa kweli, maana hata kumbukumbu zimeanza kupotea.
Imagine Juzi nilikuwa nalipia huduma fulani, badala ya kulipa mara moja si nikalipa mara mbili huduma hiyo hiyo bila Kujua
Kwa kweli nimezeeka 🤪🙌
Sema mna vijembe???🤔Mbona babuu migambuti umemuacha?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sema ziki haribika, halafu uwe na hela ya ngama[emoji848].
[emoji117] Ni kisanga mzee[emoji23][emoji16]
Sema mna vijembe???[emoji848]
Hahaha...........huo ndiyo umri wa 2nd born wangu, maana Babu yenu niliwahi kupata mtoto.We uko kwenye 47-55 Hapo, Leo ndo nime juaaa ukweli😂😁
Toa shobo zako dogo !!Chuki na arosto zita kuchosha, ila kwenye group la machizi we ndo unaye ongoza.
👉 Why umdiss mwana National Anthem kisa kipi???
More love less ego 💪
Mkuu Ume Anza😂😂, yaani wewe una 70- second born wako ana 60😂😂Hahaha...........huo ndiyo umri wa 2nd born wangu, maana Babu yenu niliwahi kupata mtoto.
Miaka yetu ilikuwa ukimaliza darasa la 4 la Mkoloni tayari unaruhusiwa Kuoa 😅
Sio nyie Timu kataa Ndoa 🤪
Maybe kwa huko mbele, ila Nilikuwa na giant- ile yenye big tyres- na double gear.As long manufacturer wa hzo brake ni wa huku huku, spare ni nyingi mnoo
Nina 78 kijana wangu wapili ana 45Mkuu Ume Anza😂😂, yaani wewe una 70- second born wako ana 60😂😂
Wee babuu hauna ka selfii mjukuu nionepo mvi!🤔😊Nina 78 kijana wangu wapili ana 45
Wa kwanza ana 51
Sasa tunastahili kuota Mvi kila mahali 🤪
Mwee BosslediIle haikunisaidia afu ilikua ya bei kweli hii ya mitishamba tu ndio imenisaidia afu ya buree tu mwenyewe Ndio niliamua kulipa fadhila!
Poapoa ngoja nimuulize!! Kwamba kuna vinyama puani vinamfanya apumue kwa shida??Mwee Bossledi
Naomba na mimi uniulizie kama ana ya aleji ya pia(Nyama za pua)
Yaani za mfumo wa upumuaji.
Ngoja niangalie picha yangu ya Mwaka 47Wee babuu hauna ka selfii mjukuu nionepo mvi!🤔😊
NdiyoPoapoa ngoja nimuulize!! Kwamba kuna vinyama puani vinamfanya apumue kwa shida??
Ngoja niangalie picha yangu ya Mwaka 47
Soon Mjukuu
Sawa ngoja nitaongea nae!Ndiyo
Na ukikaa mazingira ya vumbi unapiga chafya sana
Ukivaa nguo za uvundo unapiga chafya
Inshort ndani ya pua kunavimba
Inapelekea upumue kwa shida muda wote.
Sasa dawa za hosp nimetumia hadi nimekata tamaa
Sawa babuu tunasubiria!Ngoja niangalie picha yangu ya Mwaka 47
Soon Mjukuu