Selfika na JF: Snap it. Show it

Aisee..
 
Kumbe Ndiomana hawajielewi hivi wanayumbishwa kama pia!
Nasubiria huo Mpfd mieeee!! ukiwekwa msisahau kunitag shougaaangu!!
 
Boss lady nina miaka 56 bado minne tu nistaafu utumishi wa umma hata huyo babu yako Grahams namzidi umri nina sifa zote za kuitwa babu labda kama kuna vigezo vingine
Weee sema kweli 😁😁!!

Kigezo cha ziada mababu wana busara na hekima sana!!
Bila shaka nawee wafiti kabesa kuitwa babuu kuanzia leo ntakuita babuu Mjep!!😊😊!

Unapendelea babuu au granpa??😄
 
Mbona Mjomba maresh🤣🤣🤣🤣🤣!
Mwenyewe anajiona kijana wakati mtu mzima kisheti!! Kwanza hata akikaa na granpa ye anaonekana kizeee zaidi au ndio kudumaa kwenyewe anakosemea Cute Wife khakhakhaaaa!!
 
Iko siku utajuzwa hapa kweupee, hayo unayofanyaga mafichoni.

Hata usiwe na harakaa, tuliaa tuliii
Boss lafy hebu muone huyu shouzzy wako anachosema hapa🤣🤣
Eti kuna mambo mimj na wewe tunafanyaga mafichoni kweli?🏃🏃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…