Selfika na JF: Snap it. Show it

Nna za Mlimani tu!πŸ™‚

Ila anazingua....hata kama ndio anachanganyikiwa na TV, si angekua anachemsha vitu vyake taratibu huku anaendelea kuburudika.😬
Ile nyama hata aioshe mapema
Aweke kwenyw friji iendelee kukolea viungo hataki.

Anakuja kuitoa muda wa kupika ndo anaenda kuosha
Imepoa
Friji chafu linanuka
Ameweka hivyohivyo.

Ikifika jioni ndio anaibabua fasta kwenye gesi
Amemaliza.


Nilimwambia sister kifurushi kikiisha hakuna mtu kununua.
Akawa haelewi,
Juzi alivyokula njegere mbichi akanyoosha mikono juuπŸ˜‚πŸ™Œ
 
🀣🀣🀣🀣 Hopefully itasaidia!!

Ila anaonekana ni wale watu wanaopenda kufuatiliwa na kupigiwa kelele kila saa. Au bado mtoto sana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…