Weee huwa napika mwenyewe nyumbani kwangu kila ijumaa pia mbali na upishi ni photographer mzuri sana
View attachment 1278486
Tatizo kuna watu wanalichukulia serious sana.Hahah...
Calm down Priscallia, jeiefu chitchat ni ukumbi wa kuchangamshana tu...
Atakuwa anakuzingua tu, sio kwa nia mbaya...
Zamani tulikuwa tunaliita jukwaa la stress free
Doh! Uzuri sijaingia kichwakichwa. Nimesepa fasta...Mpwa hadi hapa ushaingia cha kike...
Ebu achaa na comments zenye kuushushia CD4 bana.....
Minauliza tu kama naweza nikakupata wapi..??
Maana Dahhh, sio kwa guu hilo ulilpoewa na Maulana....
Mbona kama ushaanza dalili za uchoyo?Shkamoo
Hahaha, ila wewe umenichoka mzee.Una undugu na Sudi Brown
Nilikuwa mbali sana.Mkuu Babylon wakiona ninja lazima upigwi mkono pembeni.
Habari yako Daktari..!![emoji44][emoji44][emoji44][emoji87][emoji87][emoji87][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha, ila wewe umenichoka mzee.
Nimecheka sanaaaaaaa.Hahah hiyo mask ni kama ya yule dogo
Ebu achaa na comments zenye kuushushia CD4 bana.....
Minauliza tu kama naweza nikakupata wapi..??
Maana Dahhh, sio kwa guu hilo ulilpoewa na Maulana....
Tatizo kuna watu wanalichukulia serious sana.
Sawa mkwe.Ndio tuwape elimu kidogo kidogo kama hivi...
Hewalaaa mpwa, ukongwe unasaidiaDoh! Uzuri sijaingia kichwakichwa. Nimesepa fasta...
Asprin niungishe tafadhali mtaniView attachment 1278494