Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahaha...............mwenzio nimeanza kuandaa mashamba mapema, hapa nasubiria mvua tu nianze kupanda πŸ€ͺ
Hebu acha uwekezaji was kamari we mzee, mpaka Leo una depend Kwenye kitu usicho kuwa na uhakika Kita kuwepo???πŸ€”.
πŸ‘‰ Chimba hata kisima, andaa hata mfumo- uvune hayo maji ya mvua.
πŸ‘‰Mvua Ni nzuri, ila Hauwezi kui limit or balance??- maji yakizidi katika mazao uta fanyajeπŸ€”

Halafu kilimo Cha umwagiliaji, kina kupa uwanja mpana wa kuinhia mzigoni muda wowote. Grahams
πŸ‘‰ Endelea ku bahatisha Kama uja umia ka National Anthem aliye itegemea mbususu ya kiarabuπŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚ aka Baki ana Lia LiaπŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Natak nilime mahind Kwa kuanzia nijipime na ekari ngapi?πŸ˜€
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜….. Ila nilifaidi banaaa ,
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… aisee kabla sijao nilikuwa napenda magari kuliko chochote.. baada ya kuoa ananza wife .. yanafata magari.. but gari zenywe mwendo ndio napenda mjerumani.. sio hawa wajapan.... umeona hii chuma
 
Ya kula kwanza yakiwa mengi nauza
Mvuaa Ime Anza kunyesha huko??, Kama una hela, Anza hata na heka3-5.
πŸ‘‰Chunguza Gharama za kukodi shamba, shamba Lina rutuba ya asili??,
πŸ‘‰Eneo la shamba likoje??- isije mvua Kali ika beba mazao..
πŸ‘‰Zijue hatua zote na mahitaji yanayo hitajika, - mbolea, mbegu, vibarua. Upaliliaji.gharama za kulima Aaliyyah πŸ˜‚πŸ˜πŸ€—
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…