Selfika na JF: Snap it. Show it

Nilitoka mara moja udugu

Wee emu nifungulie code mbona mazito [emoji23][emoji23][emoji23]
Ko kuna watu humu wamepoteza ubingwa na hawataki kujikubali???

Km unawajua wataje [emoji2222][emoji2222][emoji2222]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] relaaax uduguuu.
Wee shem wako ushampa? Km hujampaa, nipee mie.
Fanya hivyo yaan.
 
Doh,
 
Babu nasikia unahonga kilo kilo za kushatoo sio shida zako kabisaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Babu unajitafunia mifupa tyuuu!! Wacha wee[emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Hela za kuhonga natoa wapi Babu yenu, na hivi naishi kwa Kulima na Pension za kustaafu tu 🤪

Kwanza hizo nguvu za kukimbizana na Wajukuu nazitoa wapi kwa umri huu 🤪
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…