Selfika na JF: Snap it. Show it

Naona kuna watu wanataka niwape radhi, tangu lini Wazee tukawa na hayo mambo?

Sikuwahi kufikiria kama mtafikia hatua ya kuvunjiana adabu namna hii.

Sijapenda ๐Ÿคจ
 
Mjomba weka wasengenyaji walishasema hawaioni ufalme wa Mungu hata huu wa selfika hauwahusu hata km mm nilikusema Mjomba weka tu yaishe kwakweli kupakaziwa kunauma wanaumia na wao
 
Grahams [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nasikia ulisimamia kucha eti nyie jf hapana
Wote tunajua sisi Wazee Jogoo huwika kwa mwaka mara moja tu, sasa hao mabinti mnataka tuwe nao kwa kazi gani?

Mabinti na vigori ni kwaajili ya Vijana tu,

Huo ni mtazamo wetu Sisi Wazee
 
Ili ufanye kweli๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kwenye list yako sipo aiseee, ila nusu ya selfika umooo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚g.o.a.t mwenywe
Daah nina miaka sipo Tz nafanyaje haya mambo, unajua watu wanashindwa kunielewa uwa nafanya utani sana hapa wao wanachukulia serious!๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ