Pacha Penseli katisha
Yaani kanichomoa kutoka kwenye v8 kwa DC mpk kwenye Emirates hairline kwa Jack, sema kwa hili nampongeza walau hajanipachika kwa wanaume wa ajabu!!! Sema sasa nataka aje ahakikishe hao wanaume mmoja ananioa kweli sio kunizushia tyuuu!!