Una anza fujoππutaachaje kunijua mpendwa dear ex π π π π
π¬π¬π¬π¬π¬π«¨π«¨π«¨πππUna anza fujoππ
Yaani unataka kunigombanisha na mkeo ambaye ni member wa Jfπ¬π¬π¬π¬π¬π¬π«¨π«¨π«¨πππ
sasa yeye kujifanya anajua ya wenzie, kumbe akipewaga story uchwara na midosho wenzake, wima wima kusambaza pm za watu,
Kumbe anapewa za uongo, akat yeye ndo anajipambanua wazii, ashukuru mie nilimpa hints za kuwa JF, mbna angeyavagaa vibayaa, afu sahivu anajiona mjanjaaa, namtazamaa nachekaa tyuuh
π π π dear ex usiogope ulishanifumusha hata PM zako hazionagiYaani unataka kunigombanisha na mkeo ambaye ni member wa Jfπ¬
I like the view chief
ππππ, Na imagine mapiho ya Moyo yalivyo kuwa π.Million moja ilikuwa kivumbi na jasho mpaka ikanibidi niongee ukweli kwa baba Naima akailipa kwa kunipa mikwara asisikie tena ππ
Upi huo?Mjep tumefutiwa uzi πππ
Unataka kias gan?Mange kimambi!!
Leta mpunga huo Basi nikuuzie file langu.
π«‘π«‘π«‘π«‘I like the view chief
Imesimama
Hapana mkuuπππ, BMW x6 ita nunuliwa na Naniπππutajijuu nikupe namba π π π
Si huwa unazifuta ataziona vipiππΏββοΈπ π π dear ex usiogope ulishanifumusha hata PM zako hazionagi
mie na wewe nani huwa anafuta π π πSi huwa unazifuta ataziona vipiππΏββοΈ
Wee uduguu akeeeeeee!!! Walete kati ajajajaahhh!!!
Sasa hao midosho wenyewe nao khaaaaaaa!! Me kwanza bado siamini yule mtu mbona sura chachu sana km kalamba unga wa misukule nyie jf kuna viumbe vya ajabu khaaaaaaaaaa!!!
Sasa hilo mitrakooo bwimbwilu linavyojiosha kumbe linapumuliwa
π π π π πHapana mkuuπππ, BMW x6 ita nunuliwa na Naniπππ
uduguuuu tumuachee na maisha yake, ananiachaga hoi na kujifanya mjuaji, mara katusua, nyie huwa mbavu zinauma kwa kuchekaaa,
Apeche aloloo Γ2
ewaaa fanya wepesi nasubiri hapa π€π€Kutusua ya nyookoooo!!! Kutusua kwa kushinda piem za wanaume wenzie labda
Waliotusua wote ss hivi vacay, emu nikazane kuuza vijora nijipeleke Ibiza mamaeeh watu wajinyonge vzr khaaaaaaa!!!
Kwanza nimekumbuka ngoja niselfike moja niliyokua hapo kigamboni nikila bata udugu tulia nikubless
π«‘π«‘π«‘π«‘
si unajua watu pori sieView attachment 2723406