Selfika na JF: Snap it. Show it

Nikwambie kitu ukitaka kushinda hii vita pambana kimya vinginevyo mapenzi ya mitandao ni kubeti ujue[emoji16][emoji16]

Kwanza hata hayo mapenzi yenyewe niko serious nayo basi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Me sipendi pic zangu kuchukuliwa kupelekewa mtu na kuanza kunisnitch kwann hawajiamini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…