Selfika na JF: Snap it. Show it

Volume plzzz mstari wa mwisho nimependa 😀😀
 
Wapiii Deeeeeeeeejjjjjjjjayyyy 🕺🕺🤣🤣🤣!!

Mwana mtoka pabayaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤭
 
Relax babe, achana nao. Inatosha kwa leo😌❤️
 
haha Aaliyyah achafua hali ya hewa.
Yaani lait wangejua wasingejichosha sinag time na maisha ya mtu kabisa na kama mtu namkwaza nilisema wazi anifate aniambie wapi nilimkosea huenda anakosaraha maskin Kwa ajiliyangu Mimi Sina noma na mtu
Ila ukiamua kuniwekea vikao Huwa inaniuma balaa alaf vikao vya uzushi ni kunivunjia heshima sipend
 
Yaani lait wangejua wasingejichosha sinag time na maisha ya mtu kabisa na kama mtu namkwaza nilisema wazi anifate aniambie wapi nilimkosea huenda anakosaraha maskin Kwa ajiliyangu Mimi Sina noma na mtu
Tatizo lips.

Mimi pia huwa zinanichanganya Sana aise.
 
Shem tafadhali inatosha shem
Namuombea huyo mtu msamaha
Yaishe tafadhali shem
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…