Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,883
- 67,334
mhhh USI niitishe bhana😁😂Weka kwanza gumba then nitakwambia 😬
Boss lady inakufikia popote ulipoNimecheka tenaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤠🤠!!
Sio hakii kabisaaaa mr vouchaaa acha waseme wakichoka wataacha ! Wanakuonea wevoooo na vijiba vya rohooo tyuuuu hawana kingineeeer!!
Treinnnaah 👌👌👌👌👌,!
Ili waseme vizureee em Nifanyie wepesi dadakubwaaa bando vodaa kam kauwaaa sehemu ya kuweka unaijuaaaaa dadalao siwezi gombania na machalii hapaaa ili wakantangaze vizureeeeee 👌👌👌👌👌👌👌🤣🤣🤣🤣🤣🤣🕺🕺🕺!!
Jf sihamiiiiii 💃💃💃💃🤸🤸🤸🤸!!
Sawa ila nakwazika
Dogo una uza genge 😁😂🤣🤣, maana nyanya, na maandazi😂😁
Endelea kuwakomesha tu
Umeanza kuuza soda kwenye beseni?
Afu umlipie nani 🙄🤔, bsbsen😂🤣🤣Kil
a kitu ww sema unataka nn natak fundi afungue kitanda na dish nimeshindwa 😂
Huyo dawa yake bichwa ko tyuuu 🤣🤣🤠🤠🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️!Yaani huyo hawezi weka picha akiweka natupia yangu bila kuficha na video juu😬😁😁
Safi babe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] walitaka kusave mara pap nikafuta
Mdogo wakeUkwazike wewe Kantri??
Ndicho umeona sio 😂Dogo una uza genge 😁😂🤣🤣, maana nyanya, na maandazi😂😁
Ndio nitafanyaje kaka dar ngumuUmeanza kuuza soda kwenye beseni?
🤣🤣🤣🤣 Akiweka gumba nitag namie nije nijionee nicheke mieee 🤣🤭!Nina shida nalo binafsi 🤨😁😁
Ni nani huyo bichwa😁😁Huyo dawa yake bichwa ko tyuuu 🤣🤣🤠🤠🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️!
Halafu unataka pisi kali?Ndio nitafanyaje kaka dar ngumu
Sema enjoy kijana🤒Ndicho umeona sio 😂
We sister mawigi, mwenye bichwa Kama boga🤣😂🙄Huyo dawa yake bichwa ko tyuuu 🤣🤣🤠🤠🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️!
We dole gumba langu la nini?😁Ni nani huyo bichwa😁😁
Wapiii Deeeeeeeeejjjjjjjjayyyy 🤸🤸🤸🤸 🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🤣🤣🤣🤣🤣!!Boss lady inakufikia popote ulipo
Pakuweka napajuaa