Selfika na JF: Snap it. Show it

Huku nitaondoka ila nitatoa elimu kidogo, Kuna mengi naona hayapo sawa.

Hiyo elimu ni kwa wanaume wenzangu pamoja na wanawake. Kuna kitu nimeona hakipo sawa
Utajichosha bure Mkuu😂😂😂
Sidhani kama tutakuelewa🤣

Tena umekuja kipindi hiki showoff tambo zimepungua zimepungua huku.,tofauti na kipindi uzi umeshika chat kila mtu anauangalia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…