Hapa sikuhizi kuna hekaheka miambiliiii kidogoo Sumbai mi mwenyewe kila leo wengine naona wapyaa tyuuuu . Ini itakua Alibadili username banaa haonekani kabisa humu!Nije lini hapa unipe utambulisho??
Inni hajambo??
Wa kuolewa utakuwa wee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naacha naanza kuwa binti mwema niolewe nikamtunze mume [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Weee uduguuu uongo huooo !! Wewe ulikua 7A buanaa!!Niliishia la 7 D, najulia wapiii hayoo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Okay.. hujambo lakini. Happy to see you.Hapa sikuhizi kuna hekaheka miambiliiii kidogoo Sumbai mi mwenyewe kila leo wengine naona wapyaa tyuuuu . Ini itakua Alibadili username banaa haonekani kabisa humu!
To me God is good all the time mkuu ! Happy to see you too!Okay.. hujambo lakini. Happy to see you.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eeh!! Wazungu ni wazungu tu hawa wamatumbi wenzetu ni hekaheka tupu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapanaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Weee uduguuu uongo huooo !! Wewe ulikua 7A buanaa!!
Ndio iko vizuriHii movie nzuri saana.
[emoji1787]
Uduguu uko tayariiii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikuletee Dr
Mzungu au mpopo aliye jichubuaa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wa kuolewa utakuwa wee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uduguu niwacheeee,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wala sijaona hiyo picha naona sifa tu. Aweke nitoe marks, uzuri nina jicho kali sana hasa linapokuja suala la kujua pisi kali na pisi mbovu. Alafu kuwa pisi mbovu wala sio dhambiMate yanavyokutoka sasa!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wala sijaona hiyo picha naona sifa tu. Aweke nitoe marks, uzuri nina jicho kali sana hasa linapokuja suala la kujua pisi kali na pisi mbovu. Alafu kuwa pisi mbovu wala sio dhambi
NB: anivumilie kwa maoni nitayotoa, napendelea kuwa muwazi zaidi
Mie ndio ulidhani wa kumwekea huyo pichaa??? Thubutruuuuuuu labda aikute tu kwa bahati mbaya!Antonia usiweke katumwa huyu
Aanze kwanza yeye then wewe uduguuu!! Mie sina jipyaa!