Selfika na JF: Snap it. Show it

Shem umeanza mambo yako

Shem tulia kumbe unatuchit?? Nasikia kuna viumbe vya kutisha umevipeleka Tanga vikachezee pesa zako [emoji25][emoji25][emoji25] nimeumia kwakeli, viuno vyote vile mdogo angu anavyokupa bado huridhiki???

Nasemaje hao nyau nisiwajue, nanunua kesi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watanzania wengi wana gari nyeusi, hiyo hapana lete lingine tuamini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anayo gari nyeusi kubwa sitaki nimseme sana kwa details maana utashangaa sana. Ila ujue aliwapelekaa shekilango kuingia gari before mechi . Jua hilo kadada keupe kembamba . Sasa ukisema kiundani ni mbaya nitaonwa mbeya zaidi ningekuwa nimekuja pm kukuambia kiundani
 
Shem mimi niko KYAKA KOMBO huku na Tanga wapi na wapi sasa?🤣🤣🤣
Huo ni uzishi uliopitiliza achana nao
 

Umenyweshwa chai tena imepoa mwali wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hizo details unazotoa zote za uongo, Shem hayupo Dar achilia hiyo shekilango [emoji23][emoji23][emoji23]

Hao wamekulisha ndaza, waambie wakupe umbea wa kweli!! Ungeniambia wamehongwa vocha za jero jero mwali wangu nisingekataa hata kidogooooo!!! Kwa hili NIMEKATAA
 
Shem mimi niko KYAKA KOMBO huku na Tanga wapi na wapi sasa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huo ni uzishi uliopitiliza achana nao

Hapo ndipo nilipoona Maua kachanganya mafile [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mwenyewe kwa hili nakutetea
 
Achana na binti maua bana atakua anamaanisha mtu mwingine nadhani atakua mshamba_hachekwi ndiye anayemzungumzia hapa

Maua wamemjaza mabomu yasiyo na moto afu yeye kajilipiua kwa baruti za watoto [emoji23][emoji23][emoji23] mlio unaishia hapo hapo

Kwa hili mmbea mwenzangu kachemka, wamemponza aonekane hana content ya kuaminika [emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
 
Mimi niko huku leo shem
Achana na huo uzishi kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Maua umeona shem yuko na cocastic katerelo huko wanasuguana vikojoleo [emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji23][emoji23]

Kantri babe nisamehe leo nimeshindwa ule mtihani tuangalie kesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…