Selfika na JF: Snap it. Show it

Kumbe ule umbea ndo huu? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mwenye mimba nishamjua haya nipe jina la aliyetiwa mimba sasa
Hapo kazi sana kwa maana ni alikuwa huku ila sijawahi mshika ID yake ni mtu anayechart sana na watu ila huyu demu ndio anamkwanja sio jamaa
 
Sijajikausha shem
Si unajua tarehe zenyewe hizi mbovu
Sisi walimu hali yetu mbaya tarehe hizi shem
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ uongo!!!! We sema unataka kumbania udugu wangu hiyo jersey
 
ana like tyuuh comments, huenda kashaniacha najuajee sasa, siku hizi mtuu unaachwa na taarifa hupewii
Udugu kuwa makini naona unaibiwa mchana kweupeeee nakushauri wahi kwa babu ukarenew limbwata tajiri wa jf tutamkosa tuteseke, si unakumbuka mpk wizo kasema anamtafuta πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Jiandae jersey ya Simba na man city.
Afu zawadi ya ushindi wa Ngao ya jamii.

Ntakukumbusha mwsho wa mwezi.
Ya Mancity hupati wallah🀣🀣
Utashabikiaje tibu la hajabu hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…