Intelligent businessman njoo nikuambie kitu kizuri sura kama feni ya mtumishi almashauri, umekomaa kama godoro la tanfoam , unasura mbaya kama kibakuli cha chuma .
Hivi maua kwann unaniringia na huo ubuyu wako? Mpk mimba yangu itoke ndo ufurahi?
Emu lete hiyo habari ya aliyepigwa mimba na huyo jamaa ake nakusubiri
Asa mie sitanianagi nawewe ila kama unataka unapua mbaya kama pilipili za mchawi, unakitambi kama cha kipepe, mweusi kama umepigwa shoti ya umeme , mshamba hadi unapigia mswaki omo, unatumia air fresher kama deodorant, siku ya kwanza kutumia choo ulipofulashi ukapungia uchafu ulionao nakusema bye ukakimbia, tv ulivyojifunza kuwasha kila mtu unampungia nakumjibu mpaka taarifa ya habari , unajipaka mafuta aina yablue band unadhani ndio lotion yakiume , ukiwa barabarani unataka kuvuka unaenda unarudi unaenda unarudi mpaka trafic alikupiga mabao akakuvusha barabara . Unakula cowbell ukizani ni freshner ya mdomo , sura yako imekunjamana kama koti la babu mzee.
Hivi maua kwann unaniringia na huo ubuyu wako? Mpk mimba yangu itoke ndo ufurahi?
Emu lete hiyo habari ya aliyepigwa mimba na huyo jamaa ake nakusubiri