Shaishona.Hahaha...izibe kabisa...nauza vifuniko za kuweka hapo isifunguke
Hapo labda nikaribie maziwa.
Hapo labda nikaribie maziwa.
Tupia picha mkuu sijawahi kuiona yako
Hewalaaaa...kwa matumizi ya miaka ijayo [emoji16][emoji16][emoji16]Shaishona.
Mimi nimeomba nikaalikwa, nawe fanya hivyo mkwe twende woteMie mbona hamnialiki[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Mkuu hapo unashiba au kuna mkate mzima pembeni??
Mimi nimegonga chapati nne maharage na supu[emoji23][emoji23]
ngoma isambe' Asenali 4-City 2Santiago Bernabeu
Hayo ndio mambo sasa, japo hata mkate ni kiporo[emoji23][emoji23]Kuna kiporo pia kama hutajali [emoji1]
Pole kwa kazi.Mkuu hapo unashiba au kuna mkate mzima pembeni??
Mimi nimegonga chapati nne maharage na supu[emoji23][emoji23]
Hapana, matumizi yake ndio yameisha hivyo.Hewalaaaa...kwa matumizi ya miaka ijayo [emoji16][emoji16][emoji16]
@sumbai naomba mualiko wa x-mass shem love.Mimi nimeomba nikaalikwa, nawe fanya hivyo mkwe twende wote
Pole kwa kazi.