Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Afu twendeni bar za uswahilini ili k vant zikipanda kichwani tukianza kugombana wasitushangae [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watawaona kama kikundi cha waigizaji walioenda location 😀 😀 😀
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo vizuri kulewa uswazi raha wewe asikwambie mtu unapata burudani za wateja wengine, mara mdada kanywa bia za watu hataki kwenda kutoa mzigo jamaa anamwambia chagua bega, hujakaa vizuri mdada katoka gesti na towel kamkimbia jamaa ana mashine km mguu wa mtoto
 
😆😆😆😆😆 kwenye vipub hivi vituko ndyo mahala pake
 
Back
Top Bottom