Selfika na JF: Snap it. Show it

Si mlikua mnasema pisi nyembamba wana mikunjo ya roho, oohho sijui wana roho mbaya๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Sasa dada yenu mbona๐Ÿ˜†
Au basi, Mungu ponya roho za watu wenye maumivu sababu ya wengine
Amina๐Ÿ™
Dah! Nimekosa mimi , nimekosa mimi mdogo wangu mzuri ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š Sikategemea hii kitu dah.. kumbe tunacheka hapa .. nyuma ya stage wanatuua
 
Ila Lenie unanichekezhaga sana dp nzuri hivyo ila uhalisia sasa ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Ila Lenie unanichekezhaga sana dp nzuri hivyo ila uhalisia sasa ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Ukitaka kujua we ni aibu, kituko, fedhea ni ile siku ilipojitumisha kapicha. Hao unaoita mashangazi walikucheka๐Ÿ˜‚
Maana unavyozalilisha watu unadhani wew ni bora zaidi
Kata hizo ndevu bruh, wanaume wenye ndevu hawana usichana ndani yao, usiwe unatuma vipicha vyako vya aibu humu ndani
 
hapa katoboa boko, nilikuwa namkubali na kumushemi sana ila kwa hilo picha acha ale matunda yake.. kazingua ile mbayaa
 
Ulikipenda ndo unachoikipigia ndevu sio.

Ndevu ndo mbona zinapendwa sana embu ingia google hapo uone stats.

Anyway bora mimi nilituma ndevu ww wakutuma kifua kisicho na chuchu ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† zilikatwa au??
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Maliza chuo ukauze simu makumbusho mwaya. Maana ndipo unapendezea na ndevu zako

Hicho kifua kisicho na chuchu ndicho kilimpa stress aunt yako kumuwaza ex wake๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜†
Kamuulize vizuri, hakukutumia kapicha kengine tena tuone
 
alafu chochonde chonde asinigusie katoto kangu Depal ...akome kunizeesha mtoto wangu ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
๐Ÿค“๐Ÿค“ Depal wa miaka 30 umemtoa wapi bro ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ mbona unalishwa tango mzeee... na huyo Lenie wa mika 39 wa wapi mtaalamu.. nipo na Depal kitambo sana hiyo 30 labda yako na alie kutuma
Tufanye ana 17 ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ

Ukweli unauma eeeh
 
wenye midevu yetu tumekaa pembeni tunamuangalia ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
I'm happily married with 2 kids๐Ÿฅฐ๐Ÿ˜‚

Muda wa kulala huu mdogo wangu, me ndio nakaribia home hapa, nimeenjoy sana leo aki๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ