Boss unatak maji ya kunywa? Vip ulisema unanitafutia visa ili next mouth twende wote nikusaidie mizigo na kuchagua ngua german umefikia wapi
Boss wangu mimi ujui kununa kabisa muone ulivyo mrembo hasa ukicheka jaman na vile Mungu kakupa kicheko mpaka ex anaona wivu
Countrywide ongeza tabasamu kwa bibie leo