Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nipo hapa na tenge lakijani linanukia dove halafu namaji bado sijafuta na geiti wala mlango sijafunga
Aiseeee.....
mshamba_hachekwi leo utakufa na presha wallah njoo ushuhudie navyo karibishwa kwa mahaba huku, huna chako😁😁😁

Nakucha chap kipenzi
Mlango na geti nitafunga nikishaingia
Hayo maji nitakufuta mimi wala usiwe na shaka kipenzi
 
Back
Top Bottom