Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 18,844
- 57,504
Vizuri MkuuAhahaha nitaipeleka mapema
Vizuri MkuuAhahaha nitaipeleka mapema
#voda#Voda bado?
Chief wachawi wameshachukuàSelfika na
#voda#
Jamani mbona uliniacha niteseke na baridi sasa
Pole sana chiefChief wachawi wameshachukuà
Sina jipya mpenziUmenipata mpenzi!!!😊
Niambie...
Kipo kiporo Cha kutosha tuNingekuwa najua anapoishi, ningeomba kuwa mgeni wake.
Najua kiporo kimebaki 😋
Ebu tuone...😜Kipo kiporo Cha kutosha tu
Tena mkubwa sanaPole sana chief
Kumbe uchawi upo?😁
Sibanduki hapaBaadae mkuu😊
Niko na-draft invitation letter kuomba ruhusa kuja kuonja hayo mapishi.Kipo kiporo Cha kutosha tu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sina jipya mpenzi
Nilikumiss tu kipenzi😊
Usisahau kuselfika bila ua
Nakuja hapo chap usitoke
Basi nimekupa ruhusa ukujeHuyu mshamba_hachekwi ndo amekua akinizuia kila mara ananipiga stop
Hafai
😀😀😀Mimi kwangu ni amani tuNiko na-draft invitation letter kuomba ruhusa kuja kuonja hayo mapishi.
Sisi Wazee hatuna mbio za kukimbia fumanizi, imagine na Uzee huu jamani si aibu nitapata 🤪🙌
Sawa Mjukuu 🙏😀😀😀Mimi kwangu ni amani tu
Karibu sana ukija nitapika kingine sio Tena kiporoSawa Mjukuu 🙏