Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,913
- 67,434
Grahams unaitwaWakulima wenzangu mje tujipongezeView attachment 2712219View attachment 2712220
Sipendi mazoea yakoLenie ona Binti Maua ana nitaka kwa lazima๐๐
๐๐๐Wew huyo ๐Nice Ume Jitahidi, though huni shindi๐ค๐
My fav msosi๐๐ฅฐWakulima wenzangu mje tujipongezeView attachment 2712219View attachment 2712220
Aaliyyah niokoe Basi๐๐๐๐Niambie unanitaka??
Kitu sikipendi ni uongo na kuzushiana mie simtaki elewa hivyooMtoto kakuelewa, mbona unakua muoga ๐
Aisee leo jau Sana๐๐, Kila saa ana niuliza eti Kama namtakq๐๐ LenieMtoto kakuelewa, mbona unakua muoga ๐
Ahahahaa wanakujaWaite na wakulima wengine tusherehekee
Vipi una taka uje uthibitishe๐๐๐๐ค๐๐๐Wew huyo ๐
KaribuMy fav msosi๐๐ฅฐ
Linaonekana tamu hiloooo๐
Huna ubavu wa kupika hivoVipi una taka uje uthibitishe๐๐๐๐ค
Sina ubavu kweli๐๐, maana Michelle ni Bei juu, Kama mabati ya msouth๐๐Huna ubavu wa kupika hivo
๐๐Kwaiyo unakunywa uji ๐๐Sina ubavu kweli๐๐, maana Michelle ni Bei juu, Kama mabati ya msouth๐๐
Sukari yenyewe ni majanga tu, so napiga uji wa chumvi๐๐ค๐๐Kwaiyo unakunywa uji ๐๐
Changanya na ukwaju utakuja kunishukuru๐Sukari yenyewe ni majanga tu, so napiga uji wa chumvi๐๐ค
Ahhhh SI nita babuka ulimi๐๐Changanya na ukwaju utakuja kunishukuru๐