Selfika na JF: Snap it. Show it


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kaolewa na mzee sana??
 
Sema na umakonde umembeba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ko shemejio alifiwa na mkewe??
Ndio mwaka 1999 mkew ndio alikufa kama kuoa 2009 mahali mwezi wa sita ndoa mwezi wa tisa alikuwa na haraka sana baba Angu Alikuataki ila katusaidia sana yule kizee a abarikiwe sana 🤣
 
Ndio mwaka 1999 mkew ndio alikufa kama kuoa 2009 mahali mwezi wa sita ndoa mwezi wa tisa alikuwa na haraka sana baba Angu Alikuataki ila katusaidia sana yule kizee a abarikiwe sana [emoji1787]

Duh!! Huyo dada ako alimpendea pesa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…