Habari yako ndugu yangu Mwachiluwi, nime kukumbuka Sana best angu.
πVipi u Hali gani rafiki, namaanisha na SI unafiki.
πUko wapi urafiki wetu ulio anzia jukwaa la usiku wa manane.
πNi mimi rafiki yako mpendwa l, I mean no malice to nobody
Nakuonea huruma wewe wenzio walisemaga ivyo ivyo Jack Palladino akikukuteka hapa utaanza mpangia sitak uchat na fulan then vidonda vya tumbo ivyooo kisa wivu haya