Leta nikuchezee!!!πHi siwezi, nakufa kila saaππ
Jitahidi tahidi unikaribie basi!!ππHadi nimeona aibuπ
,π π π π unanitambiaDah Ms eyes ana hatariππ€£π€
ufanyaje ππππLeta nikuchezee!!!π
Hadi nikianza kununua air timeJitahidi tahidi unikaribie basi!!ππ
πππππAcha ujeuri!!!!!!π€¨π€¨π€¨
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ufanyaje ππππ
β€οΈβ€οΈβ€οΈ jumatatu utaniteteaπ₯°π₯°π«£ππππ na nikilala, hamna kuniacha mwenyewe
π«£π«£π«£ game ganiπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Nilijua tu hukosi jambo hapo!!πππ
Nimchezee gemu lake!π€
Ukiselfika bila uaJitahidi tahidi unikaribie basi!!ππ
Hata sio lazima kununua. Zile unazo-collect zinatosha kabisa!Hadi nikianza kununua air time
Bado sijawa mlevi sanaπ€£
nitakusema kwa jamaaa π€§π€§π€§Jitahidi tahidi unikaribie basi!!ππ
Duh.....Hata sio lazima kununua. Zile unazo-collect zinatosha kabisa!
PoleDaah yani hilo game sijawahi kulikubali haki ya nani
Daah yani hiyo game sijawahi kuipenda sijui kwanini, baadhi ya game (za kwenye simu) nilizozikubali ni Temple Run, Diamond Rush, Word Link, Sniper 3D, za Magari na zile za Simulation, ila hizo nyingine sijui Candy Crush na wenzie kina Subway Surfer zimenipitiaga kushoto kabisa yaniPole
Hii ni candy crush
Ngoja ni jaribu hii list uliyoniwekea hapa moja baada ya nyingineDaah yani hilo game sijawahi kulikubali sijui kwanini, baadhi ya magame (ya kwenye simu) niliyoyakubali ni Temple Run, Diamond Rush, Word Link, Sniper 3D, za Magari na zile za Simulation, ila hizo nyingine sijui Candy Crush na wenzie kina Subway Surfer zimenipitiaga kushoto kabisa yani
Ondoa shake kabisaThanks Mwachi!!!
Ila mi sikunywi maziwa....yangu iwe ya rangi!π
Mjep ili game la kike futa kabisaJaribu na hii kamanda