Selfika na JF: Snap it. Show it

Mmhh kaka naona hunitakii mema,, mie nilivyo muoga wa maji na sijui kuogelea safari ya masaa 2 naanzaje kupanda majahazi ya wavuvi na yanavyopataga ajali karibu kila siku yale??


Majahazi labda nikiwa naenda Mbudya au Bongoyo dakika 20 ndiyo nitapanda ila siyo Zanzibar wala Pemba
Hapo zenji hata ukikosa nauli unaweza pata lifti majahazi ya wavuvi
 
Hahahaha I see what you just did there
 
Hahah mbona watu wanayapanda sana yale...

Huwa yanasafirisha sana mizigo kati ya Bara na Zenji...
 
Usije ukapanda jahazi ndugu yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…