Ndio kilichonitokea jana. Nilikua sehem nikaiona Kilimanjaro 6, nikauliza 7 imeshaanza safari? Wakasema itaondoka saa kumi. Nikachukua tkt ya Royal hapo hapo
Six ilikua ndio inaondoka
Seven ile sehem ya kapten (bridge) iko juu kabisa.

Nimeishi shenyang sana kaka ,, hata week yote nilikuwa huko liaoning , this time nataka niende harbin nikacheki ice sculptures... wew ni mdau najua hahaha .. shenyang has raised me .. pande za Daoyi
Nauli zinaenda kama ifuatavyo.
Economy 25,000/-
Business 35,000/-
VIP. 50,000/-
Royal. 60,000/-
Ila boat mpya nimeona ina ziada kidogo, kuna madaraja ya 30,000 na 80,000/-
Hiyo ni Royal class ya 80,000/-
Ratiba ni kama ifuatavyo
7:00
9:30
12:30
16:00
Hizo ni boat kuondoka Dar na Zanzibar.
Kwa sasa ukitaka kuivizia mpya, inaondoka saa moja Dar, inageuza saa tatu na nusu, inaondoka Dar tena saa sita na nusu, inakuja kugeuza saa kumi kutoka Unguja. Inapumzika hadi kesho yake asubuhi.