Selfika na JF: Snap it. Show it

Haya hao wambea wanaongeza nini maishani mwao,?

Kuna mtu alienda kusema uko mmimi msukuma makazi yangu mikocheni anielezea as if tumekutana nikampotezeร  hapa ananijuร  kwa face ni wawili tu lakin from no where mtu anakuelezea kuna muda ni kelo mwazo paliikuwa pametulia sana
 
Ndio kukosa kazi huko.

Hao ni kuwapotezea tu na kuendelea kuenjoy maisha yako
 
[emoji846][emoji846][emoji846] pamekuwa kama genge la mipasho. kila mtu ana watu wake.. zamani ilikuwa raha..
Mabolo yamewagombanisha[emoji2][emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]!!!jamani byeee
Hayanihusu ,mi Sina timu!!![emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ