National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
Sina picha, mtoto wa kiume na picha picha wapi na wapi... wewe pambo tupia mbili tatu niziombee upone kichwaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] niwacheeeee emu kichwa chaniuma so ukinichekesha mishipa inakaza inauma
Kweli hebu nitumie pic nikuone best
Ukuni ni dawa ya maumivu shauli yako[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Si ndio nitakufa na huo ukuni miye, najua sitokubali kushindwa nitataka battle mwisho itakuwa “Bwana alitoa, Bwana ametwaa.”
mafuta utajiri ule wa nje nje.. kuna jamaa yangu mmoja alitengeza karibia $ 40,000 ndani ya mwezi mmoja tuAu kampuni za mafuta na usafirishaji.
👉Hizo Zina lipuka sana mzee💪🙏
Dah ni hatarii mzee, tuendelee kupambania kombe💪💪mafuta utajiri ule wa nje nje.. kuna jamaa yangu mmoja alitengeza karibia $ 40,000 ndani ya mwezi mmoja tu
Ma WiFi zako wanna miye yusho, vijembe vya Jana SI mchezo[emoji1][emoji2][emoji23][emoji23]
Sina picha, mtoto wa kiume na picha picha wapi na wapi... wewe pambo tupia mbili tatu niziombee upone kichwaa
Ukuni ni dawa ya maumivu shauli yako
kitu amabcho naona ni rahisi utajiri, ila inahitaji akili na uvumilivu tu, na kukubali level ya mkwanja ambao utakufikia.. wana wangu kadhaa walitengeza hadi $200,000 na kuwa wengine sasa hivi wapo mbaali sanaa.. lazima tutuboe sema tuache uasherati na uzinzi kama Cute Wife.. maana hizo mambo ni adui wa maendeleoDah ni hatarii mzee, tuendelee kupambania kombe💪💪
fanya namna basi nataka kutoka picha nikupige na maombi, niende out na kipenzi changu..Ushakuwa pastor sasa uniombee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
UtajijuMfyuuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kitu amabcho naona ni rahisi utajiri, ila inahitaji akili na uvumilivu tu, na kukubali level ya mkwanja ambao utakufikia.. wana wangu kadhaa walitengeza hadi $200,000 na kuwa wengine sasa hivi wapo mbaali sanaa.. lazima tutuboe sema tuache uasherati na uzinzi kama Cute Wife.. maana hizo mambo ni adui wa maendeleo
Unajificha ficha kama kima... njoo hapa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mnanichekesha na hesabu zenu za pesa hewa mjue!!!! Nyie njooni tule maisha mkitaka pesa kweli niwapeleke kwa sangoma mmiliki utajiri wa kushataa
Unajificha ficha kama kima... njoo hapa.
.View attachment 2708225
Utajiju
ndio ndio mpenzi halali wa Depal ....Ndio wewe huyo [emoji23][emoji23][emoji23]
utakoma mie siumwi kichwa.. anae umwa ni weyeeMwenyewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
utakoma mie siumwi kichwa.. anae umwa ni weyee
Alafu mbona umeficha kifua na mikono sasa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2222][emoji2222][emoji2222]