Selfika na JF: Snap it. Show it

Ulijuaje?? Nakunywa maji nakaribia lita 5 sasa kichwa kinaniuma.

Basi yaishe mtu wangu naona utani utaelekea kubaya bure tuanze kupishana km bus za mkoa
tatizo lako nakuambia njoo nikukande... wala kichwa kisingekuuma tatizo ubishi wakoo tu.. utafikiri nitaibebaa

Ila pole mdogo wangu!
Pona kichwa ukae sawa
 
[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1][emoji2][emoji2], Relax jamani

Mimi nilikua nachukulia utani mbona pacha, sema kuna watu walijua tuko serious ndiomana mtu chake nilimwambia huyo tunataniana tunajuana!! Lkn nikaona wapambe wengi wanaforce iwe ukweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
tatizo lako nakuambia njoo nikukande... wala kichwa kisingekuuma tatizo ubishi wakoo tu.. utafikiri nitaibebaa

Ila pole mdogo wangu!
Pona kichwa ukae sawa

Uje unikande kichwa??? We sikuamini kabisaa utanizidishia ugonjwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Chura nimtoe wapi ndugu yangu mi flat nimepigwa pasi a.k.a nimedondokea bafuni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nimebarikiwa karangi tyuu ka kuonekana kwenye camera
basi flat tumbo tulione.. tukiondoa tu rangiii umekwishaaa 😅 😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…