Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahaha.....................zilitoka Juzi, ila kuna Kijana aliniambia twende nazo Kitambaa cheupe tukale maisha, huwezi amini mabinti wa mule hawana huruma kabisa kwa Wazee.

Wamezimaliza zote [emoji2957][emoji119]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ulikutana na ma dragon
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ulikutana na ma dragon
Wale mabinti wameshindikana, wanakunywa Wine za 180,000 alafu kule Jikoni waliagiza Mbuzi mzima

Walifanya nitembee kwa miguu hadi Bonyokwa πŸ€ͺπŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…