Ms eyes
JF-Expert Member
- Feb 4, 2023
- 4,773
- 11,980
Nimepiga, hapana. Asubuhi nilikunywa mtori na chapati, mchana nikala ndizi samaki na usiku huu ndio nimekula hizo chips lakini sifurahii chakula.Ume piga mswaki ??, Ume shinda una kula vitu vitamu vitamu??🤔