Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,797
- 22,357
SIo sifa ya mwanaume kupenda kijana ndio maana scripture inaseme "mwanaume MPENDE mkeo"..kwakua sio nature yetu kupenda..Ujapenda kaka
Cute Wife nakupenda so cute Countrywide ulisema akija j4 unatoa pesa juma nne aijafika katimiza ahad
Hapo sahihi ila kuna wengine sisi ni dhaifu kwenye mapenzi kias tunashindwa kujiteteaSIo sifa ya mwanaume kupenda kijana ndio maana scripture inaseme "mwanaume MPENDE mkeo"..kwakua sio nature yetu kupenda..
Na angalizo la msingi ni hili, hata ukitokea kupenda, jitahidi ku contain hiyo feeling.
VIjana wa leo wengi mnakwama hapo
Sawa najua akija hapa atafura sanaUnataka nipewe talaka 2 zilizobaki? Usifanye hivyo Countrywide ni babe wangu kweli afu nampenda [emoji17][emoji17][emoji17]
Hatuko sawa ss hivi please usiendelee kumuumiza! Nakuomba baba Paroko
Sawa najua akija hapa atafura sana
Mama huyu hapa tulikuwa kwa mgonjwa dada angu alivunjika mguu kwahiyo kidogo tulikuwa bise bise ilaUsifanye hivyo, nasubiri uselfike na ile zawadi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Afu mbona hujaleta picha ya mama na ulisema utaselfika nae??
Mama huyu hapa tulikuwa kwa mgonjwa dada angu alivunjika mguu kwahiyo kidogo tulikuwa bise bise ila View attachment 2703973
Ni peac sana na ndio alikuwa mtatua matatizo yote nyumban baba yeye alikuwa analia ila mama huyu jembe af baba katurithisha watoto wote mimi naweza nikapatwa shida bas nampigia simu mama au dada yangu mkubwa anaupendo sana mama yetu[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7] Mimi nawapenda sana wamama wenye haiba km huyu wako
Mpe hi soon nitampa zawadi nzuri mwambie
Ni peac sana na ndio alikuwa mtatua matatizo yote nyumban baba yeye alikuwa analia ila mama huyu jembe af baba katurithisha watoto wote mimi naweza nikapatwa shida bas nampigia simu mama au dada yangu mkubwa anaupendo sana mama yetu
Ahahah dah wewe acha tu nilipenda hapa jfMwaisa Mwachiluwi leo nimekuona unalialia jukwaa moja, tatizo nini tena ???
Pole dear nafanya ivyo kila nipatapo nafasMtunze sana mama yako bro
Kuna wengine tulitamani kuwa nao, lkn hatujabahatika [emoji24][emoji24][emoji24]
Hahaha.................hawawezi kutumia tofauti, maana wanajua tumewapa malengo ya kucheza fainali Klabu bingwa Mwaka huu.Halafu muhasibu aka ispend hivi🤣😂🤒
View attachment 2703724
Wapigaji una wajua😁😁Hahaha.................hawawezi kutumia tofauti, maana wanajua tumewapa malengo ya kucheza fainali Klabu bingwa Mwaka huu.
Mijambazi na mihujumu uchumi ya humu ndani uliwezana nayo kweli, ???Ahahah dah wewe acha tu nilipenda hapa jf