Tuna magonjwa mengi binadamu ya kuambukiza, na yasiyo ya kuambukiza. Kati ya hayo kuna baadhi ni ya kujitakia hasa kutokana na uchafu. Yaani kutooga kabisa, kutooga vizuri ama kujisafisha vema. Hii ni mada ya jinsia zote hivyo fuatana nami kwenye hili jando na huu unyago Hakuna kitu kinavutia...