Selfika na JF: Snap it. Show it

Ww ndio mshamba ila huchekwi huko ulaya watu wanavaa na hakuna stress acheni kuwapangia watu maisha bhna
 

we kweli? Mbona unataka kunitia presha kwnn lakini?!!!
 
Mhm!! Kwann Fid ampige mkwala Juma? Hebu elezea vizuri hapo baba Paroko
Afagilii itikadi zake na sio Fd q pekee kuna yule anae piga wasanii yupo cloud siku iyo alikuwa anataka kumshushia
Kipigo juma pale clouds bila kwisa angepigwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…