Me nataka kuwa celebret, nipe muongozoTuheshimiane bas mkuu mimi sijawai fanya kazi pale isipo kuwa tu kuna mtu mmoja ninrafiki yangu yeye ni celebret kwahiyo nikikutana nae huwa ananiambia but siwez kufanya kazi pale na sipendi kuwa celebret kabisa
Mwachiluwi kaumuka, kisa nime mwambia alishawai kufanya kazi pale😁🤣😂.Me nataka kuwa celebret, nipe muongozo
Me nataka kuwa celebret, nipe muongozo
Ahahah sijachukia ila sijawai fanya pale na siwezi fanya kazi paleMbona makasiriko tajiri🤒, mshamba_hachekwi ona kijana kachukia kusikia alifanya kazi efm😁
Hiyo hela SI afuge hata kuku, ili awe Kama kina gwynne shotwell.Nenda kwenye event af huwe na pesa za kuwapa ofa wakina sepenga unatafuta rafiki yule unae muona ana nyota kali kama vile sepenga fullkuj snap ila angalia unatesa sana
Una ogopa nini kijana😁Ahahah sijachukia ila sijawai fanya pale na siwezi fanya kazi pale
Ni uamuzi wake mimi mwenyewe nilipenda kuwa maarufu ila hapan mtu unashindwa kupanda bajaji kisa kesho utakutwa kwenye page za udakuHiyo hela SI afuge hata kuku, ili awe Kama kina gwynne shotwell.
Ahahahha mambo mengi kazi pale ngumuUna ogopa nini kijana😁
Sasa una ogopa watu🤒, live yah life kiddoNi uamuzi wake mimi mwenyewe nilipenda kuwa maarufu ila hapan mtu unashindwa kupanda bajaji kisa kesho utakutwa kwenye page za udaku
Ndio nitakua celebret fasta?Nenda kwenye event af huwe na pesa za kuwapa ofa wakina sepenga unatafuta rafiki yule unae muona ana nyota kali kama vile sepenga fullkuj snap ila angalia unatesa sana
Akusindikize efm eh😁😂🤣😂😂😁Ndio nitakua celebret fasta?
Nisindikize basi
I'm alright! Vipi wewe...unaumwa??🙄Hope uko POA madam🤒
Sasa ngojea au uwe unapenda kwenda kusuka kwa bonitaNdio nitakua celebret fasta?
Nisindikize basi
Ahahah ndioSasa una ogopa watu🤒, live yah life kiddo
IAM good, Ila kwa style hii lazima nikalazwe hospital 🤒.
Bro Mshana Jr lengo uwa tishe watu🤒😁
Asa nikishakua cerebret si natakiwa nidate na star mwenzangu jamani au inakuajeLenie yaani kwa bonita kuwe kwako uwe una amkia pale unaenda kumalizia siku kwa shuu clabu unawasikiliza wao wanaenda wapi na wewe humo ila usijiroge ukadate na star utapotea