Huyo mtu wangu wa nguvu sana, she is a real deal. Najua life ya cute wife in and out, so relax. Japo kuna vitu vinanichanganya kwa sasa, though she's mine
Aloooooooo.
basi sikuwahi kujua sababu hata somo lenyewe la lugha lilinipitia kushoto.
ila nitajitahidi nianze kufatilia nondo za lugha maana kuna projects zangu kibao zitahusisha upande huo.