Role model wako nae yuko poa!Am good
Vip idrisa yupo anasemaje? π
Itapendeza zaid mpe hi nyingi sanaRole model wako nae yuko poa!
Nimwambie umemmiss???π
Ningekua siwashi taa wala TV!ππNingekua jirani yako, kila siku hodiπ
Nazunguka mlango wa jikoniNingekua siwashi taa wala TV!ππ
Ungeendq kufanya nini?Ningekua jirani yako, kila siku hodiπ
web shingapiView attachment 2698597
Karibu tukuhudumie.
Tunapatikana Mbezi Beach, Tanki Bovu, Jengo la White Beach Park, Dar es salaam.
Kula misosi mizuriπUngeendq kufanya nini?
web shingapi
Utavimbiwa sasa na wangekuwa wanakufungia mlangoKula misosi mizuriπ
Nitaliaaa πUtavimbiwa sasa na wangekuwa wanakufungia mlango
π€£π€£π€£ hawata kusikiaNitaliaaa π
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Nazunguka mlango wa jikoni
Huko najua tu nitasikia purukushani za vyombo najua uko ndani
Mimi huyo "hodi jirani yangu kipenzi"π€£π€£
Angekupiga kiswahi iko acha tuπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Hapo najidai nilikua naosha vyombo vya juzi na sina mood ya kupika! Alafu nakugeuzia kibao tukale kwako!π
Nitakuwekea sura ya huzuni hadi utanionea huruma mwenyeweπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Hapo najidai nilikua naosha vyombo vya juzi na sina mood ya kupika! Alafu nakugeuzia kibao tukale kwako!π
Karibu chamani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] raha ya huku mechi za hapa na pale hukosi ni shwaaa
ππππ itabidi nikutafutie training kwanza uive[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] card namba ngapi unanipa shogare? Na hizo mechi za hapa na pale ndio balaa sasa, nitaweza?!!!!!!