Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,897
- 67,394
Duh .........Ndo uaniche na nature yangu.
Kama hupendezwi na uchangiaji wangu unaweza kutemana na mimi.
Kuwa makini dogo sio una attack watu unazingua hili sijui lile kati yangu na yako nani mzinguaji. π€£π€£π€£π€£
Nakuonea huruma sana unajua uchoko wako lakini
Haya kitulize sasa nisije nikakuweka kwenye list yangu ya mananiliiu. Hutopenda
Una sio tuna...tunapostigi pumba sio bureπ
Huyo jamaa hana akiliJana Kuna mtu Ali niambia hizi I'd 3 mshamba_hachekwi, Poor Brain na intelli ni mtu mmojaπππ€£
Samalekooooo ndugu mjumbe!!Nakunao ndugu mjumbe
Mwanzaaaaa?
Antonnia nipo nipo kabisa ndugu mjumbeSamalekooooo ndugu mjumbe!!
Kitrambo sana jakuona humuuu!! Tumekumiss hadi basi!!
Karibu tena selfika ndugu na nafurahi sana kukuonaa!
Hapana mimi sijawahi badili ID na sijapigwa tukio kwa sababu sina mawasiliano na mtu yeyote nje ya jfHaukupigwa tukio mkuu! Ndio ukaibuka na miss jf.
Morning cousin!!Hapana mimi sijawahi badiki ID na sijapigwa tukio kwa sababu sina mawasiliano na mtu yeyote nje ya jf
Kumekucha cousin tukapambane tupate mahelaaaMorning cousin!!
Yeah!! Pesa utelezi wa maisha!Kumekucha cousin tukapambane tupate mahelaaa
utelezi tena jaman, mbona mnatuhamisha hamisha mawazo asbh [emoji23][emoji23]Yeah!! Pesa utelezi wa maisha!
Mkipata msinisahauKumekucha cousin tukapambane tupate mahelaaa
Khakhakhaaaa...!utelezi tena jaman, mbona mnatuhamisha hamisha mawazo asbh [emoji23][emoji23]
Damn one among the expensive advice given for free.Jishikilie nakukumbusha tu, Mwanaume sio madomo wala Mwanaume sio kukaa kibarazani na wanawake kupiga umbea ulipo simu mpaka chupi na cha kunyolea vuzi umenunuliwa na walezi,
Jipange kuwa bora mwanaume sio sex tu na kutomgozana, jua baadae unataka kuwa nani hasa kama unataka kuwa malaya sawa ila otherwise change mtizamo na maisha yako dogo
Hao mademu unaopiga nao story wanapata mabwana sasa na wewe kama utapata bwana haya
Nime penda hii humble response πͺSawa bro si comment vijembe tena nimeacha i swear π―π―πππͺπͺ.
Umeniambia ukweli mchungu sana na nimeamua kukuheshimu maana umetumia lugha nyepesi bila matusi
I was carried away though. Hutoona vijembe vyangu popote pale tena.
Ubarikiwe mkuu. ππ
Samahani bro Penseli 4 na Mwachiluwi , naomba mchill wazeeππ, tu maintain position attitudeDuuh kati yangu na ww mfukuliwa mtaro nani mzinguaji zaidi???
Au unataka na ww nikushushie mafile yako hapa sio.
Dogo kaa kwa kutulia. Haya endelea sasa.