And you are proud akiwa anawatafuna? [emoji16][emoji16]
Ewaaa watu wasikae na ugwadu
Sarcasm, hahahaWhy not? Kwani si rijali kakamilika? Tena namsaidia na pesa ya lodge ila aniletee na kaclip ka kucheck mastyle [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sarcasm, hahaha
Usiku mwemaa udugu akeeeWajiachie ndio kazi zake vile vidude [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
AlrightKweli simkejeli mtu, mie nataka kuona watu wanafurahi na wanafanyia kazi zawadi walizopewa na Mungu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hio ya zamani ndo naitaka! Itakua inajibu kwa utulivu sana.Sio sana [emoji1787][emoji1787]
Na mimi uniwish bana 😁Usiku mwemaa udugu akeee
Usiku mwemaa udugu akeee
Hio ya zamani ndo naitaka! Itakua inajibu kwa utulivu sana.
Hii baadhi ya fyuzi zimekatika sichelewi kupopolewa.
Jishikilie nakukumbusha tu, Mwanaume sio madomo wala Mwanaume sio kukaa kibarazani na wanawake kupiga umbea ulipo simu mpaka chupi na cha kunyolea vuzi umenunuliwa na walezi,Hayo ya kesho asubuhi
sawasawa Andazi ukweli mchungu huu nimeupokea kwa mikono miwili ✊✊✊✊👊👊👊Jishikilie nakukumbusha tu, Mwanaume sio madomo wala Mwanaume sio kukaa kibarazani na wanawake kupiga umbea ulipo simu mpaka chupi na cha kunyolea vuzi umenunuliwa na walezi,
Jipange kuwa bora mwanaume sio sex tu na kutomgozana, jua baadae unataka kuwa nani hasa kama unataka kuwa malaya sawa ila otherwise change mtizamo na maisha yako dogo
Hao mademu unaopiga nao story wanapata mabwana sasa na wewe kama utapata bwana haya
Nategemea nisikuone ukicomment vijembe tena humu.sawasawa Andazi ukweli mchungu huu nimeupokea kwa mikono miwili ✊✊✊✊👊👊👊
Ngoja nikibadhiwa Jimbo! Ntahakiki mwenyeweAfu mimi mpole sana ukiona nimempopoa mtu ujue tunafanya utani [emoji4][emoji4][emoji4]
Yaani mpk niutukane ujue umevuka mpaka wa kuheshimiana
Sawa bro si comment vijembe tena nimeacha i swear 💯💯👍👍💪💪.Nategemea nisikuone ukicomment vijembe tena humu.
Great KijanaSawa bro si comment vijembe tena nimeacha i swear 💯💯👍👍💪💪.
Umeniambia ukweli mchungu sana na nimeamua kukuheshimu maana umetumia lugha nyepesi bila matusi
I was carried away though. Hutoona vijembe vyangu popote pale tena.
Ubarikiwe mkuu. 👍👍
Nilikua sijaona hizi hasira zako, IM SORRY. Najua pengine nimechangia wewe leo kuwa hiviAfu mimi mpole sana ukiona nimempopoa mtu ujue tunafanya utani [emoji4][emoji4][emoji4]
Yaani mpk niutukane ujue umevuka mpaka wa kuheshimiana
Huu mwandiko unafanana kila kitu na cocastic, sijui kwa nini nawaza wewe utakua cocastic.Kumekucha kumekucha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aseee auntiee nakufuata pm saivi unipe mkasa wote
Hee mbona hukuniambia mi nilijua tu ile naniliiu yenu isingeisha salama.
Sasa hapo mlikuwa hamna hata mwezi mngetimiza mwaka sijui ingekuwaje.
[emoji203][emoji203][emoji203][emoji203][emoji203]🦣🦣🦣