Kuna watu hz story wanazichukulia serious kabisa wanajua kweli
Me nilikuwaga naingia kama guest nasoma nasepa almost 10yrs
Nikaona napitwa na mengi wacha niingie uwanjani
Aisee mbona hii ni mimi kabisa
Uwiiih mkuki kwa nguruwe
π€£π€£π€£π€£π€£π€£Kuna mtu tulitaniana kwenye uzi wake
Kidemu fulani kikanifata pm eti we na fulani Kuna nini kati yenu ππππ ndyo kustuka kumbe Kuna couple humu
Khaaa nisijetupiwa mapepo π πLakini watu wananjunjana kweli humu
We km huamini jiweke kwa mtu kwa utani utaona utakavyoandamwa
Kuna mtu tulitaniana kwenye uzi wake
Kidemu fulani kikanifata pm eti we na fulani Kuna nini kati yenundyo kustuka kumbe Kuna couple humu
We ulikuwa hujui auntiee. π πLakini watu wananjunjana kweli humu
We km huamini jiweke kwa mtu kwa utani utaona utakavyoandamwa
Aseeew ntaanguka kwenye kiti mimi
Mmmh nani huyo mwenye wivu mpaka kufa duuuh
Aseee kumbe hata wanawake mna njaa ya mahusiano eeeh duuh sikujuaga
Unataka wapasuke ππππππkumbe hata hamjuaniSi umeona watu walivyo vichaa
Mimi wengine wananiuliza Kantri ni kweli DC? Unajua nachekaga na nilivyo kichaa sasa nawajibu, βHapa niko naye kwenye V8β ebooh kuchoshana tyuuu
Duh salama weweChinooooo akeAmarula iko kichwani basi hata naelewa jinsi ya kufuta
Nakunao ndugu mjumbe
Haukupigwa tukio mkuu! Ndio ukaibuka na miss jf.ππKuna watu hz story wanazichukulia serious kabisa wanajua kweli
Me nilikuwaga naingia kama guest nasoma nasepa almost 10yrs
Nikaona napitwa na mengi wacha niingie uwanjaniπππ
Mwana mpotevu uko poa? kiduku mpapasoDuh salama wewe
Wengine hatuna njaa ya chochote Mungu alitubariki mapema sanaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£
Aseeew ntaanguka kwenye kiti mimi π π π π π π π
Mmmh nani huyo mwenye wivu mpaka kufa duuuh
Aseee kumbe hata wanawake mna njaa ya mahusiano eeeh duuh sikujuaga
Sema kaka unatuharibia kijiwe hapaWe ulikuwa hujui auntiee. π π
Tena wakijunjana wanafungua uzi kuelezea walivyokuwa wangongwa na location zao na magonjwa waliyopata.
Kama watoto wa form 2 kumbe wamama kabisa wakunizaa. π€£π€£π€£π€£
Mi nilikuwa nashangaa kabisa.
Duuuh alafu wanadanganyiwa kupewa mtaji wa biashara na kununuliwa bia za weeknd. π€£π€£π€£π€£π€£
INAITWA KUPATIKANA KWA MACHANGUDOA. πππππ.
SEMA NI CHEAP SANA MPUNGA WAKO UBAYA NI GRADE E
We mbona muoga hivyo.Khaaa nisijetupiwa mapepo π π
Unataka wapasukekumbe hata hamjuani
Bantu Lady niko salama kabisaMwana mpotevu uko poa? kiduku mpapaso
π€£π€£π€£π€£ Kama nimekiharibu kitengeneze.Sema kaka unatuharibia kijiwe hapa