Selfika na JF: Snap it. Show it

Wewe ni kichaaa πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Mimi ni miss attitude ni mwendo wa kununa tu hadi nibembelezwe
Kitu kidogo nmelia
 
Wacha wee chaukorofi wangu, ningesema neno sema tunaheshimiana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mmh we sema tu auntiee hii ni chit chat nothing serious πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜….

Au unaogopaga tu. 😝😝😝 Kuwa huru cutty.

Tuna chitty chatty tu 😎😎
 
Wewe ni kichaaa [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Mimi ni miss attitude ni mwendo wa kununa tu hadi nibembelezwe
Kitu kidogo nmelia

Mimi hasira zangu zinakimbilia kwenye pombe, nikiwa nimekwazika nitashinda nalewa, nishasali sana kujiombea niache hii tabia nimeshindwa [emoji119][emoji119]

Lakini hasira zikiisha nasamehe na zawadi nampelekea ila uharibifu lazima nifanye km yupo karibu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nilichomaga nguo zake hakuamini na nikamfukuza usiku nyumbani kwangu hapo nishavunja na kioo cha gari. Mimi sijui hiz hasira zangu siwez kuzicontrol kabisaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…