mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,807
sio chihuahua huyo ni maltese terrier,Miezi kadhaa sikumbuki fresh.
Nimekosa, uwe unani tagπ na kuniambia muda bwana
Duuh sina picha kabisa mbona πππ.Naomba uibles Jioni yangu anko akee!
Nitakupa kipenziAnko Nakaombaaa hakooo kazuriiii!!
Nimekushauri leo usibanduke hapa ni mwendo wa bandika banduaNimekosa, uwe unani tagπ na kuniambia muda bwana
Bado nasubiria picha yako mrembo[emoji848] khe
Huyu ni bei chee mbona. Mi jina lake silijui vizuri.sio chihuahua huyo ni maltese terrier,
vina hela balaa
Usimalize wote, nakupa namba unitumie kidogoπππNimekushauri leo usibanduke hapa ni mwendo wa bandika bandua
Hadi mshahara usishe
Weka hapa chap kabla dokta hajajaπππUsimalize wote, nakupa namba unitumie kidogoπππ
Wenzio hawaombagi hivyoBado nasubiria picha yako mrembo
Ooh sorry tungo tata i meant auntiee mzuri πππHio kipenzi cha moyo ndio imeharibu ankoo!!
Hio kipenzi hio ndio imeharibu!Nitakupa kipenzi
Usiwaze
π Hapa wataiba wengi, nitumie tu kwenye ile namba yangu kuleWeka hapa chap kabla dokta hajajaπππ
Waselfike sweetheartHio kipenzi hio ndio imeharibu!
Ubarikiwe sana kwa kuwabariki vijana mavouchaaa mr vocha!!
Walioata watufanyie wepesi sasa!!
Wapi hio ankoo akee . Nasubiria blessings zako hapaa do the needful pullliiizzzzzzzzzzzzzzzOoh sorry tungo tata i meant auntiee mzuri πππ
π€£π€£π€£π€£ Bora uendelee kutoniamini dogo.una bahati,
tunavipiga 400k+
sema we changamsha genge sikuamini, picha ukute fake