Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,249
- 183,135
Fanya wepesi yakwako Og mkuu!! Namie naisubiriaa hapaaa🙇🙇🙇🙇
Fanya wepesi yakwako Og mkuu!! Namie naisubiriaa hapaaa🙇🙇🙇🙇
Kweli Kabisa uduguuu huyoo rafiki hanaga uswahiliiii wee mkumbushe tyu!!
Mwenzio nakiogopa kitambi balaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukiona vyakula ninavyokula utachoka yote kukimbia kitambi
Huu utani wa ngumii walaiii🤠🤠😊😊😊!!☺️☺️☺️
U-portable ndo nausaka kimtindo...kakitambi kananiangusha!😵
😆😆😆Huu utani wa ngumii walaiii🤠🤠😊😊😊!!
Mimi hata nifungee 24/7 hakipungui wala ninii uwiiiii😊😊😂😂!!
Natamani ningekua na tumbo kama nyie! !
Fanya hivo udugu akee!!Bas sawa nitamkumbusha [emoji3][emoji3][emoji3]
Fanya mpango nikutane na idrisa japo sasaiv nime mmis sana kajala sijamuonna muda sana ila najua paku mpataMhuuu!!!
Kuogopwa muhimu!!🤨
Hapo ndio nafeli kwenye mazoezi nipo mzito balaa!! mazoezi uanayosaidia kupunguza kitambi ni kama yapi nijaribu nione!!😆😆😆
Umejaribu mazoezi kidogo???
Sinimekwambia nikupeleke ukazingua???Fanya mpango nikutane na idrisa japo sasaiv nime mmis sana kajala sijamuonna muda sana ila najua paku mpata
Situps na Squats zinafaa sana.Hapo ndio nafeli kwenye mazoezi nipo mzito balaa!! mazoezi uanayosaidia kupunguza kitambi ni kama yapi nijaribu nione!!
Njoo nikupunguzie nyama ya trako na upaja mmoja udugu mie nataka kupunguaa aseee!!Udugu sikujazi una rangi km yangu ila hilo hips nakuja unipunguzie [emoji7][emoji7][emoji7]
Kwa hiyo umetupia hujaanita kabisa?.Njoo nikupunguzie nyama ya trako na upaja mmoja udugu mie nataka kupunguaa aseee!!
Asabte dear ngoja nikomae nazo nione!!!!Situps na Squats zinafaa sana.
Ukiweza kufanya hata 30 tu 4 -6 times a week kama unakula portion za kawaida lazima uone matokeo!
Afu Mbona imekaa sana!!Kwa hiyo umetupia hujaanita kabisa?.
Hapana uyo best she is beautiful nampenda sanaSinimekwambia nikupeleke ukazingua???
Hmmm...Kajala nae ni role model wako?🙄🙄
Sijaona dada jamani hata pm basi?Afu Mbona imekaa sana!!
upungue kwa ruhusa ya nani, wahusika wapo tayari?Njoo nikupunguzie nyama ya trako na upaja mmoja udugu mie nataka kupunguaa aseee!!
Pm tena lol!!Sijaona dada jamani hata pm basi?
usisahau kunitag, sijawah kukuotea..Pm tena lol!!
Usijareee Badae yanga tukishinda nistuee nitairudia hapahapa mkuu Saivi nawahi siti vibanda umizaa[emoji1783]!!