Ila jokes aside, tulindeni afya zetu kwa gharama yoyote maana ndipo ulipo uhai wetu...
Watu wanatabika sana ambao afya zao zimeenda mrama, si kwa HIV tu bali na hata maradhi mengineyo yasiyo na tiba kwa sasa...
Kwa mtu anayeona uhai si kitu muhimu, hebu siku moja tukupe tour ya bure katika wodi za magonjwa haya...